July 19, 2023
0 Comments
باب الورع وترك الشبهات
وعن النَّواسِ بن سمعان – رضي الله عنه -، عن النبيِّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { البِرُّ: حُسْنُ الخُلُقِ، وَالإِثْمُ: مَا حَاكَ فِي نَفْسِكَ، وَكَرِهْتَ أنْ يَطَّلِعَ عَلَيْهِ النَّاسُ} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
68. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)
Imepokewa kutoka kwa an-Nawwâs bin Sam‘ân (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Wema ni tabia njema, na dhambi ni inayotia shaka katika nafsi yako na ukachukia watu wasije wakaijua.” [ Imepokewa na Muslim ]