July 19, 2023
0 Comments
باب الورع وترك الشبهات
وعن أنسٍ – رضي الله عنه -: أنَّ النبيَّ – صلى الله عليه وسلم – وَجَدَ تَمْرَةً فِي الطَّرِيقِ، فَقَالَ: { لَوْلاَ أنِّي أخَافُ أنْ تَكُونَ مِنَ الصَّدَقَة لأَكَلْتُهَا} متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
68. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)
Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yao) ameeleza: “Mtume ﷺ alipata tende njiani, akasema: “Lau kama nisingalichelea tende hii kuwa ni ya sadaka, ningaliila.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]