0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

585. Riyadhu Swalihina Mlango wa ukaraha kutamani Mauti kwa sababu ya Kupatwa na Madhara Wala hapana ubaya kwa kutelea fitna katika Dini

بابُ كراهة تمنّي الموت بسبب ضُرّ نزل بِهِ وَلاَ بأس بِهِ لخوف الفتنة في الدين


وعن أنسٍ – رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { لاَ يَتَمَنَّيَنَّ أحَدُكُمُ المَوْتَ لِضُرٍّ أصَابَهُ، فَإنْ كَانَ لاَ بُدَّ فَاعِلاً، فَلْيَقُلْ: اللَّهُمَّ أحْيِني مَا كَانَتِ الحَيَاةُ خَيْراً لي، وَتَوَفَّنِي إِذَا كَانَت الوَفَاةُ خَيراً لي}       متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



67. MLANGO WA UKARAHA WA KUTAMANI MAUTI KWA SABABU YA KUPATWA NA MADHARA, WALA HAPANA UBAYA (KUYATAMANI) KWA KUCHELEA MATATIZO KATIKA DINI


Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume amesema: “Asitamani mauti mmoja wenu kwa sababu ya madhara yaliompata. Akiwa hana budi ela atamani, basi aombe: Ewe Mola, Nihuishe madamu kuishi kuna kheri nami, na Unifishe iwapo kufa ni kheri kwangu.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.