0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

583. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna Ya Kuzuru Makaburi Kwa Wanaume Na Yanayosemwa Na Mwenye Kuzuru.

باب استحباب زيارة القبور للرجال وما يقوله الزائر


وعن ابن عباسٍ – رضي الله عنهما -، قَالَ: مرَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – بِقُبورٍ بالمدِينَةِ فَأقْبَلَ عَلَيْهِمْ بِوَجْهِهِ، فَقَالَ: { السَّلامُ عَلَيْكُمْ يَا أهْلَ القُبُورِ، يَغْفِرُ اللهُ لَنَا وَلَكُمْ، أنْتُمْ سَلَفُنَا وَنَحنُ بالأثَرِ}     رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



66. MLANGO WA SUNNAH YA KUZURU MAKABURI KWA WANAUME NA YANAYOSEMWA NA MWENYE KUZURU


Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amehadithia: “Mtume aliyapitia makaburi ya Madina, akayakabili kwa uso wake na akasema: Assalâmu ‘alaikum ya ahlal-qubûr, yaghfirullâhu lanâ walakum, antum salafunâ wanahnu bil-athar.”  [Amani iwe juu yenu enyi mlio makaburini, Allâh Atusamehe sisi na nyinyi. Nyinyi ni watangulizi wetu nasi tutakufa karibuni._      [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.