0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

581. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kuzuru Makaburi kwa Wanaume na yanayosemwa na mwenye kuzuru.

باب استحباب زيارة القبور للرجال وما يقوله الزائر


وعن عائشة – رضي الله عنها -، قالت: كَانَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – – كلَّما كَانَ لَيْلَتُهَا مِنْ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – – يَخْرُجُ مِنْ آخِرِ اللَّيْلِ إِلَى البَقِيعِ، فَيقولُ: { السَّلاَمُ عَلَيْكُمْ دَارَ قَوْمٍ مُؤْمِنِينَ، وَأتَاكُمْ مَا تُوعَدُونَ، غَداً مُؤَجَّلْونَ، وَإنَّا إنْ شَاءَ اللهُ بِكُمْ لاَحِقُونَ، اللَّهُمَّ اغْفِرْ لأهْلِ بَقِيعِ الغَرْقَدِ }     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



66. MLANGO WA SUNNAH YA KUZURU MAKABURI KWA WANAUME NA YANAYOSEMWA NA MWENYE KUZURU


Imepokewa kutoka kwa ‘Âisha  (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume alikuwa kila inapokuwa usiku wa kulala kwake (‘Âisha) akitoka mwisho wa usiku akienda al-Baqî’ (mahala penye makaburi ya watu wa Madina) akisema: “Amani iwe juu yenu nyumba ya watu ambao ni Waumini, yatawajia mulioahidiwa kesho, nanyi ni wenye kusubirishwa, nasi – Allâh Akipenda – tutakutana nanyi. Ewe Mola, Wasamehe watu wa Baqi’ al-Gharqad.”      [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.