0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

58. MLANGO WAKUFAA KUPOKEA KITU BILA KUOMBA AU KUWA NA TAMAA NACHO.

باب جواز الأخذ من غير مسألة وَلاَ تطلع إليه


عن سالم بن عبد الله بن عمر، عن أبيه عبد الله بن عمر، عن عمر رضي الله عنهم قال: كَانَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم يُعْطيني العَطَاءَ، فَأقُولُ: أعطِهِ مَنْ هُوَ أفْقَرُ إِلَيْهِ مِنّي. فَقَالَ: { خُذْهُ، إِذَا جَاءكَ مِنْ هَذَا المَال شَيْءٌ وَأنْتَ غَيْرُ مُشْرِفٍ وَلاَ سَائِلٍ، فَخُذْهُ فَتَمَوَّلْهُ، فَإنْ شِئْتَ كُلْهُ، وَإنْ شِئْتَ تَصَدَّقْ بِهِ، وَمَا لا، فَلاَ تُتبعهُ نَفْسَكَ} قَالَ سَالِمٌ: فَكَانَ عَبدُ الله لاَ يَسألُ أحَداً شَيْئاً، وَلاَ يَرُدُّ شَيْئاً أُعْطِيَه.    متفقٌ عَلَيْهِ

( مُشرف ): بالشين المعجمة: أيْ متطلع إِلَيْهِ


شرح الحديث على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



58. MLANGO WAKUFAA KUPOKEA KITU BILA KUOMBA AU KUWA NA TAMAA NACHO.


Imepokewa kutoka Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao)  amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akinipa hidaya, nikimwambia: “Mpe mwenye haja nacho zaidi kuniliko.” Akiniambia: “Chukua, kinapokujia kitu katika haya mali, nawe hukukitamani wala kukiomba, basi chukua na uimiliki, ukitaka utakula na ukitaka utakitoa sadaka, la si hivyo usiifwatishe nafsi yako kitu hicho.” Salim (mpokezi wa Hadîth hii) amesema: “‘Abdullâh bin ‘Umar akawa hamuombi yeyote chochote, wala harudishi alichopewa.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.