باب ذكر الموت وقصر الأمل
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { بَادِرُوا بِالأعْمَالِ سَبْعاً، هَلْ تَنْتَظِرُونَ إِلاَّ فَقْراً مُنْسِياً، أَوْ غِنَىً مُطْغِياً، أَوْ مَرَضَاً مُفْسداً، أَوْ هَرَماً مُفَنِّداً، أَوْ مَوْتَاً مُجْهِزاً، أَوْ الدَّجّالَ، فَشَرُّ غَائِبٍ يُنْتَظَرُ، أَوْ السَّاعَةَ وَالسَّاعَةُ أدْهَى وَأمَرُّ؟!} رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Zikimbilieni amali njema kabla hamjafikiwa na mambo saba. Kwani mnangoja hata mufikwe na ufukara wenye kusahauzisha, au utajiri unaopoteza, au maradhi yanayofisidi, au uzee uletao udhaifu wa akili, au mauti ya haraka, au Dajjali, ambaye ndiye mtu muovu asiekuwepo anyeongojewa, au mwangojea Qiyama, na Qiyama ndicho chenye balaa kubwa na uchungu mwingi zaidi!” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]