0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

576. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kukumbuka Mauti Na Kupunguza Tamaa.

باب ذكر الموت وقصر الأمل


وعن ابن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: خَطَّ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم – خَطّاً مُرَبَّعاً، وَخَطَّ خَطّاً في الوَسَطِ خَارِجَاً مِنْهُ، وَخَطَّ خُطَطاً صِغَاراً إِلَى هَذَا الَّذِي في الْوَسَطِ مِنْ جَانِبهِ الَّذِي في الوَسَط، فَقَالَ: { هَذَا الإنْسَانُ، وَهذَا أجَلُهُ مُحيطاً بِهِ – أَوْ قَدْ أحَاطَ بِهِ – وَهذَا الَّذِي هُوَ خَارِجٌ أمَلُهُ، وَهذِهِ الْخُطَطُ الصِّغَارُ الأَعْرَاضُ، فَإنْ أخْطَأَهُ هَذَا، نَهَشَهُ هَذَا، وَإنْ أخْطَأَهُ هَذَا، نَهَشَهُ هَذَا}    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd  (Radhi za Allah ziwe juu yao) amehadithia: “Mtume alichora msitari wenye umbo la mraba, na akachora msitari katikati uliotokeza nje, na akachora misitari mingine midogo midogo inayokabili msitari huu wa kati kwa ubavuni mwa msitari ulio kati, akasema: “Huyu ni mwanadamu, haya ni mauti yake yamemzunguka, na huu uliotoka nje ndio tamaa yake, na misitari hii midogo-midogo ni matatizo, huu ukimkosa huu utamng’ata na huu ukimkosa huu utamng’ata.”       [ Imepokewa na Bukhârî.]

Begin typing your search above and press return to search.