0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

575. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kukumbuka Mauti Na Kupunguza Tamaa.

باب ذكر الموت وقصر الأمل


وعن أنس – رضي الله عنه -، قَالَ: خَطَّ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم – خُطُوطاً، فَقَالَ: { هَذَا الإنْسَانُ، وَهَذَا أجَلُهُ، فَبَيْنَمَا هُوَ كَذَلِكَ إذْ جَاءَ الخَطُّ الأَقْرَبُ}     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume alichora misitari, akasema: “Huyu ni mwanadamu, haya ndio mauti yake, alipokuwa yu katika hali hiyo, mara kwa ghafula akajiwa na msitari huu ulio karibu (wa mauti).”    [ Imepokewa na Bukhârî.]

Begin typing your search above and press return to search.