0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

571. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ubora Wa Tajiri Anaeshukuru Naye Ni Anaechuwa Mali Kwa Njia Zake Na Akatumia Katika Njia Alizoamrishwa.

باب فضل الغَنِيّ الشاكر وهو من أخذ المال من وجهه وصرفه في وجوهه المأمور بِهَا


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { لاَ حَسَدَ إِلاَّ في اثْنَتَيْنِ: رَجُلٌ آتَاهُ اللهُ القُرْآنَ، فَهُوَ يَقُومُ بِهِ آنَاءَ اللَّيْلِ وَآنَاءَ النَّهَارِ، وَرَجُلٌ آتَاهُ مَالاً، فَهُوَ يُنْفِقُهُ آنَاءَ اللَّيْلِ وَآنَاءَ النَّهَارِ}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao)  amesimulia: “Mtume   amesema: “Hakuna wa kuonewa wivu ila watu wawili: Mtu aliejaaliwa na Allâh kuhifadhi Qur’âni akawa anasimama nayo nyakati za usiku na nyakati za mchana, na mtu alieruzukiwa mali na Allâh, akawa anayatoa nyakati za usiku na nyakati za mchana.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.