باب التنافس في أمور الآخرة والاستكثار مما يتبرك بِهِ
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: بين مِنْ ذَهَبٍ، فَجَعَلَ أيُّوبُ يَحْثِي في ثَوْبِهِ، فَنَادَاهُ رَبُّهُ – عز وجل -: يَا أيُّوبُ، ألَمْ أكُنْ أغْنَيتكَ عَمَّا تَرَى؟! قَالَ: بَلَى وَعِزَّتِكَ وَلَكِنْ لاَ غِنى بي عن بَرَكَتِكَ} رواه البخاري.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia kuwa Mtume ﷺ amesimulia: “(Nabii) Ayubu (Amani ya Mungu iwe juu yake) alipokuwa akioga bila ya nguo, mara akaangukiwa na nzige wa dhahabu, Ayubu akawa akiwatia nguoni mwake. Mola wake – Aliyeshinda na Kutukuka – Akamnadia: “Ee Ayubu, kwani Sikukutosheleza na hivyo unavyoviona?” Akamjibu: “Naapa kwa Utukufu Wako, Umenitosheleza, lakini sina namna ya kutozihitajia Baraka Zako.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]