0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

568. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kushindana katika mambo ya Akhera na Kujizidishia Yanayotabarukiwa.

باب التنافس في أمور الآخرة والاستكثار مما يتبرك بِهِ


وعن سَهْلِ بن سَعدٍ – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – أُتِيَ بِشَرابٍ، فَشَرِبَ مِنْهُ وَعَنْ يَمِينِهِ غُلاَمٌ، وَعَنْ يَسَارِهِ الأشْيَاخُ، فَقَالَ لِلغُلاَمِ: { أتَأذَنُ لِي أنْ أُعْطِيَ هؤُلاء؟} فَقَالَ الغُلامُ: لاَ وَاللهِ يَا رسولَ الله، لا أُوْثِرُ بِنَصِيبـي مِنْكَ أحَداً. فَتَلَّهُ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – في يَدِهِ.    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Sahli bin Sad (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Mtume aliletewa kinywaji akanywa. Kuliani mwake alikuwepo kijana na kushotoni mwake muna wazee. Akamwuliza yule kijana: “Utaniruhusu nianze kuwapa hawa?” Yule kijana akasema: “Hapana Yâ Rasûlallâh, Wallahi siwezi kumtanguliza yeyote katika sehemu yangu (ya baraka zako).” Mtume akamwekea mkononi mwake.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.