0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

567. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumtanguliza Mwenzio Na Kufarijian.

باب الإيثار والمواساة


وعن أَبي موسى – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { إنَّ الأشْعَرِيِّينَ إِذَا أرْمَلُوا في الغَزْوِ، أَوْ قَلَّ طَعَامُ عِيَالِهِمْ بالمَديِنَةِ، جَمَعُوا مَا كَانَ عِنْدَهُمْ في ثَوْبٍ وَاحِدٍ، ثُمَّ اقْتَسَمُوهُ بَيْنَهُمْ في إنَاءٍ وَاحدٍ بالسَّوِيَّةِ فَهُمْ مِنِّي وَأنَا مِنْهُمْ}      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Mûsâ (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume alisema: “Hakika kabila la Ash‘ary wanapokaribia kuishiwa na chakula vitani au chakula cha familia zao kinapopungua mjini, wao hukusanya kilichobaki wakakiweka katika nguo moja, halafu wote hugawana sawa kwa sawa katika chombo. Hakika wao ni katika mimi nami ni katika wao!”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.