0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

560. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { مَنْ تَصَدَّقَ بعَدلِ تَمْرَةٍ مِنْ كَسْبٍ طَيِّبٍ، وَلاَ يَقْبَلُ اللهُ إِلاَّ الطَّيبَ، فَإنَّ اللهَ يَقْبَلُهَا بِيَمِينِهِ، ثُمَّ يُرَبِّيهَا لِصَاحِبِهَا كَمَا يُرَبِّي أحَدُكُمْ فَلُوَّهُ حَتَّى تَكُونَ مِثْلَ الجَبَلِ} متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Mwenye kutoa sadaka sawa na kima cha tende moja kutokana na chumo zuri (halali) – na Allâh Hakubali ila kizuri – ni hakika Allâh Ataipokea kwa Mkono Wake wa Kulia, kisha Atailea kama vile mmoja wenu anavyomlea mwana-farasi wake, mpaka (sadaka hiyo) iwe mfano wa jabali.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.