0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

555. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


 وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { مَا نَقَصَتْ صَدَقَةٌ مِنْ مَال، وَمَا زَادَ اللهُ عَبْداً بِعَفْوٍ إِلاَّ عِزّاً، وَمَا تَواضَعَ أحَدٌ لله إِلاَّ رَفَعَهُ اللهُ – عز وجل -}   رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: “Kutoa sadaka hakupunguzi mali, Allâh Hamzidishii mja msamaha ila Humpa utukufu, na yeyote anayenyenyekea kwa ajili ya Allâh, Allâh – ‘Azza Wajalla – Atamtukuza.”      [ Imepokewa na Muslim  ].

Begin typing your search above and press return to search.