0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

551. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


 وعن أَبي أُمَامَة صُدّيِّ بن عَجْلانَ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { يَا ابْنَ آدَمَ، إنَّكَ أن تَبْذُلَ الفَضلَ خَيْرٌ لَكَ، وَأن تُمْسِكَه شَرٌّ لَكَ، وَلاَ تُلاَمُ عَلَى كَفَافٍ، وَابْدَأْ بِمَنْ تَعُولُ، وَاليَدُ الْعُلْيَا خَيْرٌ مِنَ الْيَدِ السُّفْلَى}   رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Umâmah, Sudayyi bin ‘Ajalân (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Ee mwanadamu, hakika ukitoa kilichozidi ni bora kwako, na ukikizuwia ni shari kwako, wala hutalaumiwa kwa kuzuwia kiasi cha haja na uanze kwa unayemlisha.”    [ Imepokewa na Bukhari  ].

Begin typing your search above and press return to search.