0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

549. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن عبد اللهِ بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -: أنَّ رَجُلاً سَألَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: أيُّ الإسلامِ خَيْرٌ؟ قَالَ: { تُطْعِمُ الطَّعَامَ، وَتَقْرَأُ السَّلاَمَ عَلَى مَنْ عَرَفْتَ وَمَنْ لَمْ تَعْرِفْ}  متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Mtu mmoja alimwuliza Mtume ﷺ: “Uislamu upi ndio bora?” Akamjibu: “Kulisha chakula, kutoa salamu kwa unayemjua na usiemjua.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim  ].

Begin typing your search above and press return to search.