0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

542. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mahimizo Ya Mtu Kula Kutokana Na Kazi Ya Mkono Wake Kujizuwia Kuomba …..

باب الحث عَلَى الأكل من عمل يده والتعفف به عن السؤال والتعرض للإعطاء


وعن المقدام بنِ مَعْدِ يكرِبَ – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { مَا أكَلَ أَحَدٌ طَعَاماً قَطُّ خَيْراً مِنْ أنْ يَأكُلَ مِنْ عَمَلِ يَدِه، وَإنَّ نَبيَّ الله دَاوُدَ – صلى الله عليه وسلم – كَانَ يَأكُلُ مِنْ عَمَلِ يَدِهِ}    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Al-Miqdâd bin Ma’diyakrib (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Katu hakuna yeyote aliekula chakula bora kuliko aliekula kwa kazi ya mkono wake. Hakika Mtume wa Allâh, Daudi (ﷺ) alikuwa akila kutokana na kazi ya mkono wake.”          [ Imeokewa na Bukhari ].

Begin typing your search above and press return to search.