April 30, 2023
0 Comments
باب فضل البكاء من خشية الله تَعَالَى وشوقاً إِليه
قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَيَخِرُّونَ لِلأَذْقَانِ يَبْكُونَ وَيَزيدُهُمْ خُشُوعاً﴾ [ الإسراء: 109 ]
وقال تَعَالَى: ﴿أَفَمِنْ هذَا الْحَدِيثِ تَعْجَبُونَ وَتَضْحَكُونَ وَلا تَبْكُونَ﴾ [ النجم: 59 ]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
54. MLANGO WA FADHILA YA KULIA KWA KUMUOGOPA MWENYEZI MUNGU NA KUWA NASHAUKU YA KUKUTANA NAYE
Amesema Mwenyezi Mungu: “Na huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu.” [17:109].
Amesema Mwenyezi Mungu: “Je, mnaistaajabia hadithi hii? Na mnacheka wala hamlii.” [53:59, 60].