0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

539. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mahimizo Ya Mtu Kula Kutokana Na Kazi Ya Mkono Wake Kujizuwia Kuomba …..

باب الحث عَلَى الأكل من عمل يده والتعفف به عن السؤال والتعرض للإعطاء


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم –: { لأَنْ يَحْتَطِبَ أحَدُكُمْ حُزْمَةً عَلَى ظَهْرِهِ، خَيْرٌ لَهُ مِنْ أنْ يَسْألَ أحداً، فَيُعْطِيَهُ أَوْ يَمْنَعَهُ}     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Mmoja wenu achukue tita la kuni mgongoni mwake (akauze), ni bora kwake kuliko kumuomba mtu, ampe au amnyime.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].

Begin typing your search above and press return to search.