0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

533. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, Kujizuiya Kuomba Kufanya Iktisadi Katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


وعن ابن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { مَنْ أصَابَتْهُ فَاقَةٌ فَأنْزَلَهَا بالنَّاسِ لَمْ تُسَدَّ فَاقَتُهُ، وَمَنْ أنْزَلَهَا باللهِ، فَيُوشِكُ اللهُ لَهُ بِرِزْقٍ عَاجِلٍ أَوْ آجِلٍ}      رواه أَبُو داود والترمذي، وقال: {حديث حسن}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Anaepatwa na uhitaji akawapelekea watu, uhitaji wake hautaondolewa, na anayempelekea Allâh (uhitaji wake), basi Allâh Atamharakishia riziki ya duniani au Akhira.”     [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh Gharîb.]

Begin typing your search above and press return to search.