0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

526. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, Kujizuiyz Kuomba Kufanya Iktisadi Katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


وعن حكيم بن حزام – رضي الله عنه -: أنَّ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { اليَدُ العُلْيَا خَيْرٌ مِنَ اليَدِ السُّفْلَى، وَابْدَأْ بِمَنْ تَعُولُ، وَخَيْرُ الصَّدَقَةِ مَا كَانَ عَنْ ظَهْرِ غِنىً، وَمَنْ يَسْتَعْفِفْ يُعِفُّهُ الله، وَمَنْ يَسْتَغْنِ يُغنهِ الله}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Hakîm bin Hizâm (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ  amesema: “Mkono ulio juu ni bora kuliko mkono ulio chini. Anza na unayemlisha. Sadaka bora ni inayotolewa na mtu mwenye uwezo, mwenye kujizuwia kuomba watu Allâh Atamjaalia asiombe watu, na mwenye kudhihirisha ukwasi (utajiri), Allâh Atamkwasisha.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]

Begin typing your search above and press return to search.