0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

521. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, kujizuiyz kuomba kufanya iktisadi katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


عن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { لَيْسَ الغِنَى عَن كَثرَةِ العَرَض، وَلكِنَّ الغِنَى غِنَى النَّفْسِ}   متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yao) amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ kuwa amesema: “Utajiri si kuwa na mali nyingi, lakini utajiri ni utajiri wa nafsi.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]

Begin typing your search above and press return to search.