0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

52 DUA ANAYOOMBA MGONJWA ALIYEKATA TAMAA YA KUPONA

KINGA YA MUISLAMU


[ اللهم اغفر لي وارحمني والحقني بالرفيق الأعلى ]

البخاري 7/10 ومسلم 4/1893

[Ewe Mwenyezi Mungu, nisamehe mimi na unirehemu na unikutanishe na waja walio katika daraja za juu.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

Imepokelewa kutoka kwa Bibi Aisha Radhi za Allah zawe juu yake  amesema: [Mtume ﷺ wakati anakufa alikuwa akiingiza mikono yake ndani ya maji kisha akipangusa kwayo uso wake na akisema:

[ لا إله إلا الله إن للموت لسكرات ]

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, hakika kifo kina uchungu]    [Imepokewa na Bukhari.]

لا إله إلا الله والله أكبر ، لا إله إلا الله وحده ، لا إله إلا الله وحده لا شريك لهُ ، لا إله إلا الله لهُ الملك ولهُ الحمد ، لا إله إلا الله ولا حول ولا قوة إلا بالله

أخرجه الترمذي وابن ماجه وصححه الألباني

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu  ni Mkubwa, Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu  peke yake, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu mpweke hana mshirika wake, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki  ila ni Mwenyezi Mungu, ni wake Ufalme na sifa njema zote ni zake, hapana mola apasae kuabudiwa  kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu  na hapana uwezo wala nguvu isipokuwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.]      [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Ibnu Maajah na kusahihishwa na Al-Baaniy]


DUA ANAYOOMBA MGONJWA ALIYEKATA TAMAA YA KUPONA


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.