0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

514. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن فُضَالَةَ بن عبيدٍ – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – كَانَ إِذَا صَلَّى بِالنَّاسِ، يَخِرُّ رِجَالٌ مِنْ قَامَتِهِمْ في الصَّلاةِ مِنَ الخَصَاصَةِ – وَهُمْ أصْحَابُ الصُّفَّةِ – حَتَّى يَقُولَ الأعْرَابُ: هؤُلاء مَجَانِينٌ. فَإذَا صلَّى رسول الله – صلى الله عليه وسلم – انْصَرَفَ إلَيْهِمْ، فَقَالَ: {لَوْ تَعْلَمُونَ مَا لَكُمْ عِنْدَ اللهِ تَعَالَى، لأَحْبَبْتُمْ أنْ تَزْدَادُوا فَاقَةً وَحَاجَةً}    رواه الترمذي، وقال: {حديث صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Fadhâla bin ‘Ubaid (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia kuwa Mtume alikuwa anaposwalisha, baadhi ya watu walikuwa wakianguka katika kisimamo chao kutokana na njaa kali – nao ni watu wa Suffa – mpaka mabedui wakisema: “Hawa ni wendawazimu.” Mtume anapomaliza kuswali, akiwaendea na akiwaambia: “Lau mnajua daraja mlizonazo mbele ya Allâh, mngalitamani muzidi ufukara na umasikini.”    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

Begin typing your search above and press return to search.