0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

511. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن عبد الله بن عَمْرو بنِ العاص – رضي الله عنهما -: أن رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {قَدْ أفْلَحَ مَنْ أسْلَمَ، وَكَانَ رِزْقُهُ كَفَافاً، وَقَنَّعَهُ اللهُ بِمَا آتَاهُ}      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yako) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Hakika ameshafaulu mtu aliesilimu, riziki yake ikawa ni kadiri ya haja, na Allâh Akamjaalia kutosheka na Alichomruzuku.”     [imepokewa na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.