0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

508. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن عِمْرَان بنِ الحُصَيْنِ – رضي الله عنهما -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، أنّه قَالَ: {خَيْرُكُمْ قَرْنِي، ثُمَّ الَّذِينَ يَلُونَهُمْ، ثُمَّ الَّذِينَ يَلُونَهُمْ} قَالَ عِمْرَانُ: فَمَا أدْري قَالَ النبي – صلى الله عليه وسلم – مَرَّتَيْنِ أَو ثَلاَثاً {ثُمَّ يَكُونُ بَعْدَهُمْ قَوْمٌ يَشْهَدُونَ وَلاَ يُسْتَشْهَدُونَ، وَيَخُونُونَ وَلاَ يُؤْتَمَنُونَ، وَيَنْذِرُونَ وَلاَ يُوفُونَ، وَيَظْهَرُ فِيهمُ السَّمَنُ}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Imrân bin al-Husain (Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ kuwa amesema: “Wabora wenu ni walio katika karne yangu, kisha wanaowafwatia, kisha wanaowafwatia.”Imrân amesema: “Sijui kama Mtume ﷺ alisema mara mbili au tatu.” “Kisha watakuwa baada yao watu wanaotoa ushahidi wala hawakutakiwa kutoa ushahidi, watakhini wala hawataaminiwa, wataweka nadhiri wala hawatatekeleza na utadhihiri unene miongoni mwao.”            [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]

Begin typing your search above and press return to search.