0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

505. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


 وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: لَقَدْ رَأَيْتُ سَبْعِينَ مِنْ أَهْلِ الصُّفَّةِ، مَا مِنْهُمْ رَجُلٌ عَلَيْهِ ردَاءٌ، إمَّا إزَارٌ وَإمَّا كِسَاءٌ، قَدْ رَبَطُوا في أعْنَاقِهِم مِنْهَا مَا يَبْلُغُ نِصْفَ السَّاقَيْن، وَمِنْهَا مَا يَبْلُغُ الكَعْبَيْنِ فَيَجْمَعُهُ بِيَدِهِ كَرَاهِيَةَ أنْ تُرَى عَوْرَتُهُ.     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nimewaona watu sabiini miongoni mwa watu wa Suffa, hakuna kati yao mwenye shuka, ima kuna mwenye kikoi au mwenye kitambaa, wamejitatia shingoni mwao, katika nguo hizo muna zifikazo katikati ya muundi kuna na zinazofika katika vifundo vya miguu, basi hapo mtu akiishika kwa mkono wake kwa kuchukia asije akaonekana uchi wake.”      [ Imepokewa na Bukhari ]

Begin typing your search above and press return to search.