0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

502. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن محمد بن سيرين، عن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: لَقَدْ رَأيْتُنِي وَإنِّي لأَخِرُّ فِيمَا بَيْنَ مِنْبَرِ رسولِ الله – صلى الله عليه وسلم – إِلَى حُجْرَةِ عائِشَةَ – رضي الله عنها – مَغْشِيّاً عَلَيَّ، فَيَجِيءُ الجَائِي، فَيَضَعُ رِجْلَهُ عَلَى عُنُقِي، وَيَرَى أنِّي مَجْنُونٌ وَمَا بِي مِنْ جُنُونٍ، مَا بِي إِلاَّ الْجُوعُ.     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Muhammad bin Sîrîn amepokea kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) akisimulia: “Hakika nilikuwa nikianguka baina ya mimbari ya Mtume ﷺ na chumba cha ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) nikiwa nimepoteza fahamu, basi hapo akija mtu akiniekea mguu wake katika shingo yangu na akidhani kuwa nina wazimu ilihali sina wazimu, bali nilikuwa nina njaa.    [ Imepokewa na Bukhari ]

Begin typing your search above and press return to search.