0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

482. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن عبدِ الله بن الشِّخِّيرِ – بكسر الشينِ والخاء المعجمتين – – رضي الله عنه -، أنه قَالَ: أتَيْتُ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم -، وَهُوَ يَقْرَأُ: ﴿أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ﴾ قَالَ: {يَقُولُ ابْنُ آدَمَ: مَالِي، مالي، وَهَلْ لَكَ يَا ابْنَ آدَمَ مِنْ مَالِكَ إِلاَّ مَا أكَلْتَ فَأفْنَيْتَ، أَو لَبِسْتَ فَأَبْلَيْتَ، أَوْ تَصَدَّقْتَ فَأَمْضَيْتَ؟!}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ash-Shikkhîr (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilimwendea Mtume   naye anasoma: “Kumewaghafilisha kutafuta wingi (wa mali, jaha na watoto wa kujifakhirisha kwa hayo).” [Sura ya 102]. Akasema: “Mwanadamu husema “mali yangu mali yangu,” kwani – ee mwanadamu – una mali zaidi ya ulicho kula ukamaliza au ulichokivaa ukakichakaza au ulichotoa sadaka ukampa anayestahiki?”              [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.