0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

479. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن عبدِ الله بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -، قَالَ: مَرَّ عَلَيْنَا رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – وَنَحْنُ نعالِجُ خُصّاً لَنَا، فَقَالَ: {مَا هَذَا؟} فَقُلْنَا: قَدْ وَهَى، فَنَحَنُ نُصْلِحُهُ، فَقَالَ: {مَا أرَى الأَمْرَ إِلاَّ أعْجَلَ مِنْ ذَلِكَ}

رواه أَبو داود والترمذي بإسناد البخاري ومسلم، وقال الترمذي: {حديثٌ حسنٌ صحيحٌ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume alitupitia nasi tunakitengeneza kijumba chetu cha mbao. Akatuuliza: Ni nini hii? Tukamwambia: Kimedhoofika (kinakaribia kuanguka), kwa hivyo tunakitengeneza. Akatwambia: Ninavyoona, mauti yanakuja haraka kuliko hicho (kijumba chenu kuanguka).

[ Imepokewa na Abû Dâwûd, na Tirmidhy wameipokea kwa isnadi ya Bukhârî na Muslim. Tirmidhy amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

  


Begin typing your search above and press return to search.