0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

467. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {تَعِسَ عَبْدُ الدِّينَارِ، وَالدِّرْهَمِ، وَالقَطِيفَةِ، وَالخَمِيصَةِ، إنْ أُعْطِيَ رَضِيَ، وَإنْ لَمْ يُعْطَ لَمْ يَرْضَ}      رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: [ Ameangamia mtumwa wa dinari, dirhamu, mahameli (bahameli) na khamisa; (aina ya nguo ya sufi yenye milia) akipewa huridhika, asipopewa haridhiki.”]    [ Imepokewa na Bukhari .]


Begin typing your search above and press return to search.