0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

466. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {انْظُرُوا إِلَى مَنْ هُوَ أسْفَلَ مِنْكُمْ وَلاَ تَنْظُرُوا إِلَى مَنْ هُوَ فَوْقَكُمْ؛ فَهُوَ أجْدَرُ أنْ لاَ تَزْدَرُوا نِعْمَةَ الله عَلَيْكُمْ}  متفقٌ عَلَيْهِ، وهذا لفظ مسلم

وفي رواية البخاري: {إِذَا نَظَرَ أَحَدُكُمْ إِلَى مَنْ فُضِّلَ عَلَيْهِ في المَالِ  وَالخَلْقِ، فَلْيَنْظُرْ إِلَى مَنْ هُوَ أسْفَل مِنْهُ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: [ Mtazameni aliye chini yenu wala msimtazame aliye juu yenu kwani (kufanya hivyo) ni haki zaidi msije mkazidharau neema za Allâh juu yenu.]    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]
Riwaya ya Bukhârî imesema: [ Atakapomtazama mmoja wenu aliefadhiliwa kuliko yeye katika mali na umbile, basi na amtazame aliye chini yake.] 


Begin typing your search above and press return to search.