0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

463. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن جابر – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – مَرَّ بالسُّوقِ وَالنَّاسُ كَنَفَتَيْهِ، فَمَرَّ بِجَدْيٍ أَسَكَّ مَيِّتٍ، فَتَنَاوَلَهُ فَأَخَذَ بِأُذُنِهِ، ثُمَّ قَالَ: {أَيُّكُم يُحِبُّ أنْ يَكُونَ هَذَا لَهُ بِدرْهَم؟} فقالوا: مَا نُحِبُّ أنَّهُ لَنَا بِشَيْءٍ وَمَا نَصْنَعُ بِهِ؟ ثُمَّ قَالَ: {أَتُحِبُّونَ أَنَّهُ لَكُمْ؟} قَالُوا: وَاللهِ لَوْ كَانَ حَيّاً كَانَ عَيْباً، إنَّهُ أسَكُّ فَكَيْفَ وَهُوَ ميِّتٌ ! فقال: {فوَاللهِ للدُّنْيَا أهْوَنُ عَلَى اللهِ مِنْ هَذَا عَلَيْكُمْ}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume alipita sokoni na watu wameketi pambizoni mwake, akapita kwa mzoga wa mwana-mbuzi mwenye masikio mafupi, akalishika sikio lake na akauliza: “Ni nani anayependezwa kumnunua huyu kwa dirhamu?” Wakajibu: “Hatumtaki kwa thamani yoyote, kwani tutamfanyia nini? Akawaambia: Mwapendelea awe ni wenu? Wakajibu: Wallahi lau angalikuwa hai, ingalikuwa ni aibu kwa sababu ana masikio mafupi, basi itakuwaje naye ni mzoga? Akawaambia: Wallahi! Dunia ni duni mno kwa Allâh kuliko alivyo huyu mbele yenu.  [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.