0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

461. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.)

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن أنس – رضي الله عنه -: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {يُؤْتَى بِأنْعَمِ أهْلِ الدُّنْيَا مِنْ أهْلِ النَّارِ يَوْمَ القِيَامَةِ، فَيُصْبَغُ في النَّارِ صَبْغَةً، ثُمَّ يُقَالُ: يَا ابْنَ آدَمَ، هَلْ رَأيْتَ خَيْراً قَطُّ؟ هَلْ مَرَّ بِكَ نَعِيمٌ قَطُّ؟ فَيَقُولُ: لاَ وَاللهِ يَا رَبِّ، وَيُؤْتَى بِأشَدِّ النَّاسِ بُؤسَاً في الدُّنْيَا مِنْ أهْلِ الجَنَّةِ، فَيُصْبَغُ صَبْغَةً في الجَنَّةِ، فَيُقَالُ لَهُ: يَا ابْنَ آدَمَ، هَلْ رَأيْتَ بُؤساً قَطُّ؟ هَلْ مَرَّ بِكَ شِدَّةٌ قَطُّ؟ فيَقُولُ: لاَ وَاللهِ، مَا مَرَّ بِي بُؤْسٌ قَطُّ، وَلاَ رَأيْتُ شِدَّةً قَطُّ}   رواه مسلم.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: [ Siku ya Qiyama ataletwa mtu wa motoni katika watu wa dunia alieneemshwa neema nyingi mno, ataingizwa motoni mda mchache kisha atatolewa, ataulizwa: Ee mwanadamu, ushawahi kuona kheri aslan? Ushawahi kuneemeka aslan? Atajibu: Hapana, Wallahi Mola wangu (sijawahi kamwe kuona neema)! Na ataletwa mtu aliyekuwa ana shida mno duniani ambaye ni katika watu wa Peponi, ataingizwa Peponi kidogo kisha atatolewa. Ataulizwa: Ee mwanadamu, ushawahi kupata shida aslan? Ushawahi kupata tabu aslan? Atajibu: Hapana, Wallahi. Sijawahi kupata shida katu, wala sijaonapo taabu kabisa!]   [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.