0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

455. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kulia Kwa Kumuogopa Mwenyezi Mungu Na Kuwa Na Shauku Ya Kukutana Naye.)

باب فضل البكاء من خشية الله تَعَالَى وشوقاً إِليه


وعن أَبي أُمَامَة صُدَيِّ بن عجلان الباهلي – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {لَيْسَ شَيْءٌ أحَبَّ إِلى اللهِ تَعَالَى مِنْ قطْرَتَيْنِ وَأثَرَيْنِ: قَطَرَةُ دُمُوع مِنْ خَشْيَةِ اللهِ، وَقَطَرَةُ دَمٍ تُهَرَاقُ في سَبيلِ اللهِ. وَأَمَّا الأَثَرَانِ: فَأَثَرٌ في سَبيلِ اللهِ تَعَالَى، وَأَثَرٌ في فَريضةٍ مِنْ فَرائِضِ الله تَعَالَى}     رواه الترمذي، وقال: {حديثٌ حسنٌ}

:وفي الباب أحاديث كثيرة منها

حديث العرباض بن سارية – رضي الله عنه -، قَالَ: وعظنا رسول الله – صلى الله عليه وسلم – مَوعظةً وَجلَتْ منها القُلُوبُ، وذرِفت منها الْعُيُونُ. وقد سبق في باب النهي عن البدع


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Umâmah, Sudayyi bin Ajlân al-Bâhiliy (Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea kutoka kwa Mtume amesema: [Hakuna kinachopendeza mno kwa Allâh kama matone mawili na athari mbili: tone la chozi kutokana na kumwogopa Allâh na tone la damu lililochuruzika katika Njia ya Allâh. Ama athari mbili: athari katika Njia ya Allâh na athari ya faradhi miongoni mwa faradhi za Allâh.]  [Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

na Katika Mlango huu muna Hadîth nyingi, kama ya: Al-‘Irbâdh bin Sâriyah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume alitupa mawaidha mazito (yenye maana makubwa), nyoyo zikaogopa na macho yakabubujika machozi. [Tazama Hadîth ya 157].


Begin typing your search above and press return to search.