0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

451. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kulia Kwa Kumuogopa Mwenyezi Mungu Na Kuwa Na Shauku Ya Kukutana Naye.)

باب فضل البكاء من خشية الله تَعَالَى وشوقاً إِليه


وعن أنس – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – لأُبَي بن كعب – رضي الله عنه -: {إنَّ الله – عز وجل – أَمَرَنِي أنْ أقْرَأَ عَلَيْكَ: ﴿لَمْ يَكُنِ الَّذِينَ كَفَروا…﴾ قَالَ: وَسَمَّانِي؟ قَالَ: {نَعَمْ} فَبَكَى أُبَيٌّ.  متفقٌ عَلَيْهِ

وفي رواية: فَجَعَلَ أُبَيٌّ يَبْكِي


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alimwambia Ubayyi bin Ka’bi (Radhi za Allah ziwe juu yake): “Hakika Allâh Mtukufu Ameniamrisha nikusomee (Sûra) Lam yakunilladhîna kafarû…” Ubayyi bin Ka’bi akamwuliza: “Na Amenitaja kwa jina?” Akamwambia: “Ndio.”] [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy. Hadîth hii ni Sahîh.]

Riwaya nyingine imesema: “Ubayyi akawa analia.”


Begin typing your search above and press return to search.