4%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

448. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kulia Kwa Kumuogopa Mwenyezi Mungu Na Kuwa Na Shauku Ya Kukutana Naye.)

باب فضل البكاء من خشية الله تَعَالَى وشوقاً إِليه


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لا يَلِجُ النَّارَ رَجُلٌ بَكَى مِنْ خَشْيَةِ اللهِ حَتَّى يَعُودَ اللَّبَنُ في الضَّرْعِ، وَلاَ يَجْتَمِعُ غُبَارٌ في سبيلِ اللهِ وَدُخَانُ جَهَنَّمَ} رواه الترمذي، وقال: {حديثٌ حَسنٌ صحيحٌ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: [ Hataingia motoni mtu alielia kwa sababu ya kumwogopa Mwenyezi Mungu mpaka maziwa yarudi katika chuchu. Wala haliwezi kujumuika vumbi katika Njia ya Allâh na moshi wa Jahannam.]  [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.