0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

447. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kulia Kwa Kumuogopa Mwenyezi Mungu Na Kuwa Na Shauku Ya Kukutana Naye.)

باب فضل البكاء من خشية الله تَعَالَى وشوقاً إِليه


وعن أنس – رضي الله عنه -، قَالَ: خطب رسول الله – صلى الله عليه وسلم – خُطْبَةً مَا سَمِعْتُ مِثْلَهَا قَطُّ، فقال: {لَوْ تَعْلَمُونَ مَا أعْلَمُ، لَضَحِكْتُمْ قَليلاً وَلَبَكَيْتُمْ كَثِيراً} قَالَ: فَغَطَّى أصْحَابُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – وُجُوهَهُمْ، وَلَهُمْ خَنِينٌ.   متفقٌ عَلَيْهِ.   وَسَبقَ بَيَانُهُ في بَابِ الخَوْفِ.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume alituhutubia khutba ambayo sijawahi katu kusikia khutba kama hiyo, akasema: [ Lau mngalikuwa mnayajua ninayoyajua, mngalicheka kidogo na mkalia sana! ]  Maswahaba wa Mtume ﷺ wakazifunika nyuso zao huku wanalia (kwa king’ong’o).    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.