April 30, 2023
0 Comments
باب الجمع بين الخوف والرجاء
وعن ابن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {الجَنَّةُ أقْرَبُ إِلى أحَدِكُمْ مِنْ شِرَاكِ نَعْلِهِ، وَالنَّارُ مِثْلُ ذلك} رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: [Pepo iko karibu zaidi na mmoja wenu kuliko ukanda wa kiatu chake, na moto pia ni vivyo hivyo.”] [ Imepokewa na Bukhari. ]