0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

444. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الجمع بين الخوف والرجاء


وعن أَبي سعيد الخدرِيِّ – رضي الله عنه -: أنَّ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا وُضِعَتِ الجنازةُ واحْتَمَلَهَا النَّاسُ أَوِ الرِّجَالُ عَلَى أعناقِهِمْ، فَإنْ كَانَتْ صَالِحَةً، قالتْ: قَدِّمُونِي قَدِّمُونِي، وَإنْ كَانَتْ غَيْرَ صَالِحَةٍ، قالتْ: يَا وَيْلَهَا ! أَيْنَ تَذْهَبُونَ بها؟ يَسْمَعُ صَوْتَها كُلُّ شَيْءٍ إِلاَّ الإنْسانُ، وَلَوْ سَمِعَهُ صَعِقَ}   رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: [Jeneza linapowekwa na watu wakalibeba juu ya shingo zao, ikiwa yule aliekufa ni mtu mwema, atasema: “Nipelekeni, nipelekeni!” Na akiwa si mtu mwema, atasema: “Ole wangu! Mwanipeleka wapi?” Kila kitu kitasikia sauti yake ispokuwa mwanadamu, na lau (mwanadamu) angaliisikia, angalipotewa na fahamu (kutokana na sauti yake jinsi ilivyo kali kwa sababu ya adhabu anayoiyona).]    [ Imepokewa na Al-Bukhari. ]


Begin typing your search above and press return to search.