0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

439. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن أَبي موسى الأشعري – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا أرادَ الله تَعَالَى رَحمةَ أُمَّةٍ، قَبَضَ نَبيَّهَا قَبْلَها، فَجعلهُ لَهَا فَرطاً وسلَفاً بَيْنَ يَديْهَا، وإذَا أرادَ هَلَكَةَ أُمَّةٍ، عَذَّبَهَا وَنَبِيُّهَا حَيٌّ، فَأهلكَها وَهُوَ حيٌّ يَنظُرُ، فَأقرّ عَينَهُ بهلاكِها حِينَ كَذَّبُوهُ وَعَصَوا أمْرَهُ}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Mûsâ al-Ash‘ary (Radhi za Allah ziwe juu yake) amempokea Mtume ﷺ akisema: [ Mwenyezi Mungu Anapowatakia rehema umati fulani, Humchukua Nabii wao kabla yao, na Akamjaalia ni mtangulizi wao anaewatangulia wao. Na Anapotaka kuwaangamiza umati wowote ule, Huwaadhibu na Nabii wao angali hai, Akawaangamiza na Nabii huyo yu hai anatazama, Akautuliza moyo wake (Nabii huyo) kwa kuwaangamiza walipomkadhibisha na wakaasi amri yake.]  [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.