0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

43. MLANGO WA KUWAKIRIMU WATU WA NYUMBA YA MTUME ﷺ (AHLULBAIT) NA KUBAINISHA UBORA WAO

باب إكرام أهل بيت رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم – وبيان فضلهم


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿إِنَّمَا يُرِيدُ اللهُ لِيُذْهِبَ عَنْكُمُ الرِّجْسَ أَهْلَ الْبَيْتِ وَيُطَهِّرَكُمْ تَطْهِيراً﴾ [ الأحزاب: 33 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿وَمَنْ يُعَظِّمْ شَعَائِرَ اللهِ فَإِنَّهَا مِنْ تَقْوَى الْقُلُوبِ﴾ [ الحج: 32 ]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



43. MLANGO: KUWAKIRIMU WATU WA NYUMBA YA MTUME ﷺ (AHLULBAIT) NA KUBAINISHA UBORA WAO


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu : [ Hakika Mwenyezi Mungu anataka kukuondoleeni uchafu, enyi Watu wa Nyumba ya Mtume, na kukusafisheni baarabara.] [33: 33].

Na Amesema: [Ndio hivyo! Na anayetukuza ibada za Mwenyezi Mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo.]  [22: 32]


Begin typing your search above and press return to search.