April 2, 2023        
        
            
            0 Comments        
    
باب الرجاء
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {والَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ، لَوْ لَمْ تُذْنِبُوا، لَذَهَبَ الله بِكُمْ، وَجَاءَ بِقَومٍ يُذْنِبُونَ، فَيَسْتَغْفِرُونَ الله تَعَالَى، فَيَغْفِرُ لَهُمْ} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: [ Naapa kwa Ambaye nafsi yangu imo Mkononi Mwake! Lau kama mngalikuwa hamtendi dhambi, Allâh Angaliwaondoa na Akawaleta watu wanaotenda dhambi, wakamuomba maghfira Naye Akawasamehe.” [ Imepokewa na Muslim ]