0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

404. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuogopa Mwenyezi Mungu.

 باب الخوف


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه قال : كُنَّا مَعَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم – إذْ سمع وجبة، فَقَالَ: {هَلْ تَدْرُونَ مَا هَذَا؟} قُلْنَا: الله وَرَسُولُهُ أعْلَمُ. قَالَ: {هذَا حَجَرٌ رُمِيَ بِهِ في النَّارِ مُنْذُ سَبْعينَ خَريفاً، فَهُوَ يَهْوِي في النَّارِ الآنَ حَتَّى انْتَهَى إِلَى قَعْرِها فَسَمِعْتُمْ وَجْبَتَهَا}   رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Tulikuwa pamoja na Mtume mara akasikia mshindo. Akauliza: [ Mwajua ni kitu gani hiki?] Tukajibu: Allâh na Mtume wake Wanajua.” Akasema: [ Hii ni sauti ya jiwe lililorushwa motoni tangu miaka sabiini, likawa linaanguka motoni mpaka likafikia katika kina chake hivi sasa, ndipo mkasikia mshindo wake.” ]        [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.