0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

395. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwachukulia Watu Kwa Dhahiri Yao Na Siri Zao Kumuachia Allah

باب إجراء أحكام الناس عَلَى الظاهر وسرائرهم إِلَى الله تَعَالَى


 وعن عبد الله بن عتبة بن مسعود، قَالَ: سَمِعْتُ عمر بن الخطاب – رضي الله عنه -، يقولُ: إنَّ نَاساً كَانُوا يُؤْخَذُونَ بِالوَحْيِ في عَهْدِ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، وَإنَّ الوَحْيَ قَدِ انْقَطَعَ، وإِنَّمَا نَأخُذُكُمُ الآن بما ظَهَرَ لَنَا مِنْ أعمَالِكُمْ، فَمَنْ أظْهَرَ لَنَا خَيْراً أمَّنَّاهُ وَقَرَّبْنَاهُ، وَلَيْسَ لَنَا مِنْ سَرِيرَتِهِ شَيْء، اللهُ يُحَاسِبُهُ فِي سَرِيرَتِهِ، وَمَنْ أظْهَرَ لَنَا سُوءاً لَمْ نَأمَنْهُ وَلَمْ نُصَدِّقْهُ وَإنْ قَالَ: إنَّ سَرِيرَتَهُ حَسَنَةٌ.     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Utba bin Mas‘ûd amesema: “Nilimsikia ‘Umar bin al-Khattâb  (Radhi za Allah ziwe juu yake akisema: “Hakika baadhi ya watu – katika zama za Mtume ﷺ – habari zao zilikuwa zikijulikana kutokana na Wahyi (Ufunuo). Na Wahyi umekatika. Kwa hakika sasa tutawachukulia kulingana na matendo yenu yanayotudhihirikia. Atakayetuonyesha kheri, tutampa amani na tutamkaribisha, wala hatutamchunguza undani wake, Allâh Ndiye Atakayemhisabia undani wake. Na atakayetudhihirishia ubaya, hatutampa amani wala hatutamsadiki hata akisema kuwa undani wake ni mwema.” [ Imepokewa na Bukhari. ]


Begin typing your search above and press return to search.