0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

389. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kutahadhari kuwaudhi Watu wema Madhaifu na Masikini

 باب التحذير من إيذاء الصالحين والضعفة والمساكين


وعن جندب بن عبد الله – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {مَنْ صَلَّى صَلاةَ الصُّبْحِ، فَهُوَ في ذِمَّةِ الله، فَلاَ يَطْلُبَنَّكُمُ الله مِنْ ذِمَّتِهِ بِشَيْءٍ، فَإنَّهُ مَنْ يَطْلُبُهُ مِنْ ذِمَّتِهِ بِشَيْءٍ يُدْرِكْهُ، ثُمَّ يَكُبُّهُ عَلَى وَجْهِهِ في نَارِ جَهَنَّمَ} رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Jundub bin Abdullâh (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: [ Anayeswali Swala ya asubuhi, mtu huyo yuko katika dhamana ya Allâh, basi msiivunje dhamana ya Allâh (kwa kumfanyia adha huyu aliyeswali), kwani atakayedaiwa dhamana ya Allâh kwa jambo lolote, Atamdiriki kisha Atamtosa katika moto jahannam kifudifudi.]  [ Imepokewa na Muslim.]
Riwaya nyingine imesema: [ Anayeswali Swala ya asubuhi kwa jamaa Yuwampenda.  ]              


Begin typing your search above and press return to search.