0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

388. Riyadhu Swalihina Mlango wa Alama za Allah Kupenda Mja, Mahimizo Kuwa na Tabia Aipendao Allah..

باب علامات حب الله تَعَالَى للعبد والحث عَلَى التخلق بِهَا والسعي في تحصيلها


وعن عائشة – رضي الله عنها -: أنَّ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم – بعث رجلاً عَلَى سَريَّة فَكَانَ يَقْرَأُ لأَصْحَابِهِ في صَلاَتِهِمْ فَيَخْتِمُ بـ ﴿قُل هُوَ الله أَحَدٌ﴾، فَلَمَّا رَجَعُوا ذَكَرُوا ذلِكَ لرسول الله – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: {سَلُوهُ لأَيِّ شَيْءٍ يَصْنَعُ ذلِكَ}؟ فَسَألُوهُ فَقَالَ: لأَنَّهَا صِفَةُ الرَّحْمانِ فَأَنَا أُحِبُّ أنْ أقْرَأ بِهَا. فَقَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {أخْبِرُوهُ أنَّ اللهَ تَعَالَى يُحِبُّهُ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Âisha Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia kuwa Mtume alimtuma mtu ili awe Amiri katika kikosi fulani cha vita. Akawa akiwasomea watu wake katika Swala zao akiwamalizia kwa Sûratu Qul huwallâhu Ahad. Waliporudi walimweleza Mtume jambo hilo. Akawaambia: “Mwulizeni, kwa ajili gani anafanya hivyo?” Wakamwuliza. Akawajibu: “Kwa sababu Sura hiyo ni sifa ya Arrahmân (Allâh Mwingi wa rehema). Nami hupenda kuisoma.” Mtume akasema: [Mpeni habari kuwa Allâh Mtukufu Yuwampenda.  ]                [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.