0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

385. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب فضل الحب في الله والحث عَلَيهِ وإعلام الرجل من يحبه، أنه يحبه، وماذا يقول لَهُ إِذَا أعلمه


وعن أنس – رضي الله عنه -: أنَّ رَجُلاً كَانَ عِنْدَ النَّبيِّ، – صلى الله عليه وسلم -، فَمَرَّ رَجُلٌ بِهِ، فَقَالَ: يَا رَسُول الله، أنِّي لأُحِبُّ هَذَا، فَقَالَ لَهُ النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -: {أأعْلَمْتَهُ؟} قَالَ: لا. قَالَ: {أعْلِمْهُ} فَلَحِقَهُ، فَقَالَ: إنِّي أُحِبُّكَ في الله، فَقَالَ: أَحَبَّكَ الَّذِي أحْبَبْتَنِي لَهُ.   رواه أَبُو داود بإسناد صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia kuwa mtu mmoja alikuwa na Mtume ﷺ , akapita mtu mbele yake. Akasema: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) mimi nampenda mtu huyu.” Mtume akamwuliza: “Umemjulisha?” Akajibu: “La.” Akamwambia: “Kamjulishe.” Akamfwata na akamwambia: “Mimi nakupenda kwa ajili ya Allâh.” Naye akamwambia: “Akupende Yule Ambaye umenipenda kwa ajili Yake.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd. Isnadi yake ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.