0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

377. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب فضل الحب في الله والحث عَلَيهِ وإعلام الرجل من يحبه، أنه يحبه، وماذا يقول لَهُ إِذَا أعلمه


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه قال -، قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {إنّ الله تَعَالَى يقول يَوْمَ القِيَامَةِ: أيْنَ المُتَحَابُّونَ بِجَلالِي؟ اليَوْمَ أُظِلُّهُمْ فِي ظِلِّي يَوْمَ لاَ ظِلَّ إلاَّ ظِلِّي}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume ﷺ amesema: “ Mwenyezi Mungu Atasema Siku ya Qiyama: [ Wako wapi waliopendana kwa Utukufu Wangu? Leo Nitawafunika katika kivuli Changu siku ambayo hakuna kivuli ila kivuli Changu. ]  [ Imepokewa na Muslim] 


Begin typing your search above and press return to search.